“Maisha ya kijijini siyo mabaya hata kigodo, tatizo ni mitazamo ya watu wa mjini dhidi ya watu wa kijijini kunakowafanya wanakijiji wajione wanyonge wakati wakijua kuwa mjini hakuna maisha bila sisi wa kijijini, tunazalisha na wao ndio soko letu” Mzee John Kalimanzira kutoka Kibondo, Kigoma