Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu amemtengua Naibu waziri Rahma na kumteua Dkt. Munisi kuchukua nafasi hiyo
Taarifa kutoka kwa Katibu Mkuu kiongozi imethibitisha uteuzi na utenguzi huo, kama inavyosomeaka katika picha hapa chini


